''HAYAWI HAYAWI sasa ndo yanafunga mwaka'', Wema na Diamond sio siri tena, Diamond amtambulisha LIVEEE!!!
Tukio hilo lilitokea rasmi jana kwenye show ya Diamond pale leaders
Club ambapo Diamond aliuliza msahabiki wake kuwa ''Mntaka kumjua mchumba
wangu?'' na ndipo baada ya muda mfupi alipanda stejini mwanadada Wema
Sepetu na kuanza kucheza na Diamond na kukumbatiana naye kuonesha ishara
ya penzi lao jipya hilo lililorudi kwa kasi.

No comments:
Post a Comment