Words of Hope

Habari, kama inavojionesha kwenye picha hapo juu ilo ni neno lililo katika lugha ya kiingereza (english word) na maana kubwa ya neno ilo ni "unaweza kama ukijiamini" maneno hayo yana tafsiri nyingi kulingana na mawazo ya watu mbalimbali ila kama mtunzi wa maneno hayo napenda kuyatumia kama chanzo kikubwa cha kunitia moyo kila mara nionapo njia ni ngumu na wakati nimeshikwa na matatizo ambayo nahisi peke angu siwezi kuyatatua bila msaada toka kwa watu wengine, so nawaasa ndugu zangu marafiki na jamaa na watu wa kila rika kwamba jiamini nafsi yako utaweza kwani hakuna mtu duniani ambaye katengwa na Mwenyez Mungu muamini na kumuomba sana utafanikiwa... Kwa Maneno ya kukupa faraja na kukutoa mawazo kama haya tembelea tena blog hii AKHSANTE

No comments: