Saturday, November 30, 2013

Wiz Khalifa got Jade Smith into smokin??

Wiz khalifa almaaarufu kama the smokin king analaumiwa na mashabiki wake kibao kama kamuingiza jade ambaye ni mtoto wa actor "Will Smith" katika uvutaji wa mihadarati.. Ata ivo imethibitishwa na wiz mwenyewe kupitia account zake za mitandao ya kijamii kama hakumuingiza katika uvutaji wa madawa hayo naye Jade kwa upande wake amethibitisha kua hatumii madawa ya kulevya ya aina yoyote licha ya kuwa na skendo nyingi katika mitandao na magazeti mbalimbali na amesema io ni njia inayomuongezea umaarufu na kumkuzia jina katika kazi yake kama Msanii wa kuigiza na rapper pia

No comments: